Wasilisha kesi yako kwa utaratibu, usiri, na mwongozo wa wazi.
Tueleze suala lako, pakia nyaraka muhimu, na timu ya Madafa Advocates itapitia taarifa zako na kukuandalia hatua za mwanzo bila mkanganyiko.
Majibu ya haraka kwa kesi zenye muda wa mwisho
Tunaweza kupanga intake ya kawaida, ya haraka, au ya dharura kulingana na hali yako.
Nyaraka zako hupitia channel salama
Hakuna kupoteza ushahidi kwenye njia zisizo rasmi.
Tumia form hii au eneo la mteja kwa ufuatiliaji salama.Tuma maelezo ya msingi na nyaraka muhimu ili tuanze mapitio.
Tutakupigia au kukutumia ujumbe kulingana na njia unayochagua.
Vijana House of Vision, Opposite Meridian Hotel, Peram Street, Dar es Salaam
Kabla ya kuwasilisha, hakikisha una msingi wa kesi yako.
Maswali haya yanatusaidia kuona muda, ushahidi, na nguvu ya suala lako ili intake isiwe ya jumla bila mwelekeo.
Tunachofanya baada ya kupokea kesi yako
Mapitio ya awali
Timu inapitia maelezo yako, nyaraka, na urgency ya kesi.
Mkakati wa hatua za mwanzo
Tunapanga hatua za mwanzo kabla ya kazi kamili ya kisheria kuanza.
Mawasiliano rasmi
Tunatumia email au simu uliyochagua kwa taarifa na mwaliko wa mazungumzo.
Ulinzi wa nyaraka
Ushahidi unabaki kwenye mfumo salama wa ofisi na portal ya mteja.
Chagua namna ya intake ya kesi yako
Kwa kesi za kawaida, za haraka, au za dharura, tunaweka slot inayoendana na urgency ya suala lako.
Huduma ya Kawaida
Majibu ndani ya siku 3-5, mpango wa hatua na ramani ya kazi.
Weka Slot ya KawaidaUshahidi wako unabaki kwenye mfumo salama.
Tunapendelea ushahidi upitie mfumo rasmi wa intake na portal ya mteja ili timu ya kisheria iweze kufuatilia historia ya faili, tarehe, na updates kwa usahihi.
- PDF, picha, na vielelezo vinahifadhiwa kwa reference ya kesi.
- Advocates na admin hupitia ushahidi kabla ya kutoa mwongozo.
- Unaweza kutumia portal ya mteja kwa nyongeza za baadaye.
Mifano ya masuala tuliyoyashughulikia
Hizi ni baadhi ya kazi za karibu zinazosaidia wageni kuelewa aina ya support tunayotoa.
Hakuna kazi za kesi zilizoongezwa bado.
Tuma maelezo ya kesi yako hapa
Fomu hii inatusaidia kuanza mapitio rasmi kabla ya mazungumzo ya kwanza.
Ramani ya hatua
Haya ndiyo mfuatano wa kawaida baada ya kuwasilisha kesi.
Haraka?
Taja ikiwa kuna hearing, deadline, au hatari ya papo hapo.
Nyaraka
Pakia PDF au picha muhimu ili mapitio yaanze kwa data sahihi.
Mawasiliano
Tutafuata njia unayoichagua kwenye fomu hii.